1 . Huwa anakuwa na sababu nyingi za kutetea hali aliyonayo, kwenye ufahamu wake anakuwa na mifano mingi ya walioshindwa tu.
2 . huwa anaamini mafanikio ni bahati na sio juhudi, kila aliyefanikiwa kwake humuona mwenye bahati na haamini kuwa juhudi zina nguvu katika mafanikio.
3. Hapendi mafanikio ya wenzake, na hii ndio sababu yeye pia hafanikiwi. .....huwezi fanikiwa ukiwa hupendi mafanikio ya wenzako.
4.huwa ni mtu wa kulaumu muda wote, hutafuta uadui na wanaomshinda....muda mwingi huwatafutia sababu waliofanikiwa zaidi yake.
5. Rafiki zake pia ni wenye sifa za kukata tamaa, ndio mana huwa ni ngumu kwa mtu aliyekata tamaa kubadilika. .....maana huwezi kuwa na mawazo tofauti na rafiki zako. .na ukifanikisha kuwa na mawazo tofauti huwezi kuwa na rafiki ambao mmepishana.
6.mtu aliyekata tamaa huwa anajaribu kutafuta short cut za kufanikiwa......siku zote kufanikiwa kwa ujanja ujanja mwisho wake ni kufa maskini.
NOTE :Kukata tamaa ni ugonjwa, ugonjwa huu mara nyingi hutokana na historia ya mtu aliyopitia. ....inaweza kuwa ni kwenye mahusiano,biashara, Masomo etc
Huwa sio Kazi rahisi kutibu ugonjwa huu kwa haraka, kumbe ukiwa na rafiki mwenye kukata tamaa jitahidi maisha yako yawe sehemu ya kumbadilisha(ingawa ni hatari sana kuwa karibu na aliye kata tamaa, badala ya kumbadilisha unaweza badilika wewe )
Jitahidi sana uwe makini na historia umeyopitia, uliyopitia jana, juzi au miaka ya nyuma hayana mahusiano na mafanikio yako. ......ila kama ulifanya maamuzi ya kudumu kwa uliyopitia ,tayari utakuwa umeingia tayari kwenye kundi la watu walio kata tamaa.
See you at the top.
scientist Saul kalivubha.
0652 134 707.
See you at the top.
scientist Saul kalivubha.
0652 134 707.
Thanks so much brother
ReplyDeleteMungu mwenyezi pekee awe nawe
Nimejifunza kitu kikubwa katika somo lako
Thnx you too. ..alone i can't
DeleteNice brother
ReplyDeleteThanks too. ...karibu tena humu
DeleteAsante kwa ujumbe mzuri
ReplyDeleteKeep it up bro
Asante bro
DeleteThanks for Good message
ReplyDeleteThanks too bro
DeleteThanks! Lord be with u
ReplyDeleteAmen. .....karibu tena kweny blog hii
DeleteEnter your comment...very nice message be blessed my brother
ReplyDeleteAmen. ....nategemea ushirikiano wako
Deletei real appreciate you,,my brother"""'lets tell them the truth....CHANGE THE YOUTH TO CHANGE THE WORLD
ReplyDeleteTuwe pamoja kufundisha
DeleteSomo zur sana linajenga mno hope litawabadilisha weng
ReplyDeleteKaribu sana kijana, endelea kujifunza
DeleteThank you brother God bless the work of your hands
ReplyDeleteThank you brother God bless the work of your hands
ReplyDeleteAmen sana
ReplyDelete