Nimshukuru Mungu kwa siku nyingine hii, pia niseme asante kwake kwa uzima wako, Karibu tena kwenye blog hii kwa series ya somo letu la KUJITAMBUA.
Week iliyopita tulijifunza SIFA ZA MTU ASIYE JITAMBUA. ......kama hukupitia somo hilo ni vyema ukalipitia kabla ya kuendelea na hili la leo (http://kalivubha.blogspot.com/2017/01/jitambue.html?m=1).
Leo nataka tujifunze sehemu zilizobaki kwenye somo letu hili. .....nazo ni MADHARA YA KUTOJITAMBUA NA JINSI YA KUTIBU UGONJWA WA KUTOJITAMBUA. ..
2.MADHARA YA KUTOJITAMBUA.
Kutojitambua ni tatizo ambalo limefanya wahusika wawe sehemu zisizo sahihi (kwenye mahusiano, biashara, mafanikio n.k).
Madhara ya kutojitambua ni matokeo ya kuwa sehemu isiyo ya kwako. ......
Madhara makubwa ambayo yanaweza beba yote kwa mtu asiye jitambua ni kutofanikiwa kwa jambo lolote, huwezi fanikiwa ikiwa hujui wapi umetoka, wapi ulipo na wapi uendapo, ili mtu afanikiwe kwa jambo lolote lazima ajue vizuri sehemu anayoenda, ikiwa haitoshi lazima mtu atambue vizuri mazingira ya kumfikisha aendapo.
Mtu asiye jitambua mara nyingi hushangiliwa na watu wavivu(watu wanaopenda sehemu rahisi ) hii humfanya mtu huyo kuendelea kufanya mambo ambayo yapo kinyume na jamii inayojitambua, hivyo mtu huyu hupoteza uaminifu. ....
3. JINSI YA KUTIBU UGONJWA WA KUTOJITAMBUA.
Kutojitambua huwa nasema ni ugonjwa kwa sababu kila mtu anaweza ambukizwa tabia ya kutojitambua kutoka kwenye mazingira.
Huwa ni rahisi kuzuia ugonjwa huu, ila ni Kazi kubwa sana kuutibu endapo mtu akiupata. ...hii hutokana na wagonjwa wa tabia hii kuwa wagumu kukubali kuwa ni victims.
Ili mtu apone ugonjwa huu inabidi kwanza yeye mwenyewe atambue kuwa ni mgonjwa, kisha hatua inayofata ni zoezi la kubadili MARAFIKI. .....maana mtu asiye jitambua kuna uwezekano mkubwa hata rafiki zake hawajitambui pia.
Zoezi la kubadili rafiki huwa ni ngumu kidogo (lina hitaji ujasiri ) Ila ndio tiba pekee ya kuaminika kwa mgonjwa wa aina hii.
Let's meet on the next week , we will be having a new lesson termed as NDOTO YA MSIMU.
see you at the top
Scientist Saul kalivubha.
Welcome.
ReplyDeletekutokujitambua n sumu Kali mno ndgzang,, kwn,, kwa kutojitambua ,mtu atajkuta anafanya na kuenenda tofaut na yaliyomakusud/kusudi la Mungu kwako,, hali hii hupelekea mwenendo wako kuchechemea,, na kuona kua u a all the time doing bad,, one thing important,, just be humble,, prays ur God to fills u awareness and wisdom so as u can prosper good,, to make ur dreams true,, so as to lives a Victorian life,, wsh a all the blesses to greatness,,,!!!
ReplyDeleteseen brother.
DeleteYeah hapo kwenye kubadili marafiki ndo panapohitajika na ndo msingi wa kijitambua
ReplyDeleteNionavyo Mimi
Friends. .....Yeah , u are right. .
Delete